STENDI KUU MPYA YAFUNGULIWA JIJINI MBEYA





Muonekano wa eneo la Stendi kuu hiyo.Wakazi wa jiji la Mbeya wamejitokeza kwa wingi katika stendi kuu mpya iliopo eneo la nane nane RRM kwaajili ya kuomba maeneo ya kufanyia biashara zao katika eneo hilo.
Wageni kutoka mikoani mnataarifiwa kua stendi kuu ya jiji la Mbeya kwa sasa ipo eneo la nanenane (karibu na Uyole) na si mjini soko matola tena kama iliyokuwa hapo awali,lakini si wa mikoani tu bali hata baadhi ya wilaya za jiji la Mbeya.
Hivyo ukifik jijini Mbeya usishangae kuambia kuwa basi linaishia hapo eneo la Nane nane,kwani ndipo ilipo Stendi Kuu mpya kwa sasa na siku zote.
Previous
Next Post »