KOMBE LA DUNIA 2014: WAJERUMANI WAKABIDHIWA KOMBE LAO MARA BAADA YA KUINYUKA ARGENTINA 1 - 0







We are the champions! Germany captain Philipp Lahm (front, second right) holds the World Cup aloft

Ushindi! Ushindi! Ushindi! Wacheaji wa Timu ya Ujerumani wakishangilia ubingwa huku kapteni wa timu hiyo Philipp Lahm akiwa ameMEnyanya kombe.
On top of the world: Germany celebrate as they lift the iconic trophy at the Maracana
Ilikuwa ni Furaha na Vifijo.The boss: Germany coach Joachim Low (centre) lifts the World Cup as his players celebrate around him
Kocha wa Timu ya Ujerumani, Joachim Low akiwa amebeba kombe kwa furaha pamoja na wachezaji.
Tears of joy: A weepy Andre Schurrle is congratulated by his girlfriend Montana Yorke after the match

Mchezaji wa timu ya Ujerumani Andre Schurrle akipongezwa na mchumba wake Montana Yorke mara baada ya mechi kuisha.
Winners: Mario Gotze (left) and Thomas Muller celebrate the substitute's crucial goal

Hii ndiyo furaha ya ubingwa kati ya Mario Gotze (lkushoto) na Thomas Muller 
Mob rule: Gotze (No 19) is surrounding by his ecstatic team-mates after scoring

Joy and despair: The Germany players go wild after the goal but the Argentines are out on their feet

Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia kwa shangwe mara baada ya kufunga goli.Superb stretch: Gotze volleys in with his left foot after taking a cross on his chest

Mchezaji wa Ujerumani Gotz akipiga shuti lililozaa matunda ya ushindi,
Gotze winning goal

Mfumo wa goli waliloshinda Ujerumani na kuchukua ubingwa.
Big chance: Rodrigo Palacio (No 18) goes through in extra-time with glory beckoning

Not good enough: Palacio dinks the ball over Manuel Neuer - but it went wide

Mchezaji wa Argentina Palacio akimpiga kanzu korikipa wa timu ya Ujerumani.
Going the extra mile: Andre Schurrle (right) has a shot saved right at the start of extra-time

Previous
Next Post »