HIVI HEBU TUZUNGUMZE KIDOGO NI NYIE WANAUME MNAWASABABISHA WAONGEZEE HAYA MAUMBILE AU NI NINI


BBC Dira TV: Idadi ya wanawake wanaotafuta kuongeza makalio bandia kwa njia za upasuaji inaongezeka nchini Marekani. Kutokana na gharama kuwa kubwa, baadhi huenda kwa madaktari wasio rasmi, na kusababisha madhara makubwa. FBI imesema huu ni uhalifu unaokua kwa kasi. Kwanini baadhi ya wanawake hutaka kuongeza ukubwa wa sehemu hiyo ya mwili? Tweets @Salym
Previous
Next Post »