Na Saimeni Mgalula,Mbeya
Chama cha umoja wa madereva tax Kilimanjaro (UMTK) kilichopo katika
mji mdogo wa Tunduma Wilaya ya Momba Mkoani hapa,Kimewataka wanachama
wake wote kuwa na nidhamu na kufuatataratibu za chama hicho
iliwawezekufikapale wanapotakiwa na kuwa mfano katika jamii na kwa
vikundi vingine ambavyo vipo.
Kauli hii imetolewa na Katibu Mosesi Boazi wao jana baada ya mmoja wao
jina limehifadhiwa kukiuka kulipa faini ya shilingi elfu kumi na tano
kutokana na ubatili ambao alikuwa anaufanya wa kutokulipa elfu moja
ya kila mwisho wa wiki alisema Boazi.
Aliendelea kwa kusema kuwa wao walianzisha chama hicho ilikila
mwanachama ambaye atapata matatizo mbalimbali yanayo husu mambo ya
udereva atasaidiwa kwa kutumia mfuko wa Chama hicho na hataweza kutoa
hata shilling moja kutoka mifukoni mwake.alisema hivyo
Pia alisema kuwa lakini mtu au mwanachama yeyote ukimfanyia kitu kama
hicho hapo juu kwenye picha ambayo unaiona hapo anaona kama anaonewa
kiukweli kumbe ni kwa faida yake mwenyewe baada ya matatizo kwasababu
mtatizo huwa hayaji kwa kukupa taarifa pia hayana kukutaharifu ni
ghafla,Alisema mosesi.
Vile vile alielezea sababu ya kutengeneza chuma kwa ajili ya kufunga
magari yao ni sababu ya watu ambao sio watekelezaji wa na ni wakorofi
hawafuati taratibu zao lazima watakuwa wanachukuliwa na hatua na
kutofanya kazi.
Na mwisho alimalizia kwa kusema kuwa hata kama wanachama watauchukia
uongozi kwa kumfanyia mwenzao kutokufanya kazi yeye hata jali kwani
walichaguwa wao wenyewe viongozi kwaiyo lazima wao wafanyekazi zao
kiufasaha ilikuepuka kuonekana wao ndio wanaonufaika na chama hicho.
MWISHO.
EmoticonEmoticon