Beyonce aongoza orodha ya mpya ya Forbes '100 Most powerful Celebrities', ampiku Oprah Winfrey


Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya mwaka huu ya watu maarufu wenye ngunvu zaidi duniani kwa mara ya kwanza ‘100 Most Poweful Celebrity’ na kumpiku Oprah Winfrey ambaye amekaa mara kadhaa katika nafasi hiyo ikiwa ni pamoja na mwaka jana.
Kwa mujibu wa jarida hilo, Beyonce anaongoza huku kipato chake tangu June 1, 2013 hadi June 1, 2014 kikitajwa kuwa $115 Million kupitia endorsement na shows 95 alizofanya.
Wengine waliotajwa kwatika orodha hiyo ni mchezaji wa mpira wa kikapu LeBron James, Dr Dre, Oprah Winfrey, Ellen DeGeneres, Jay Z, Floyd Mayweather, Rihanna na Katty Perry.
1. Beyonce-$115 million
2.LeBron James- $72million
3. Dr. Dre -$620million
4.Oprah Winfrey-  $82million
5. Ellen DeGeneres  -$70million
6.Jay Z -$60million
7 Floyd Mayweather- $105million
8. Rihanna - $48million
9 Katy Perry- $40million $75million
10. Robert Downey Jr- $75 Million
Previous
Next Post »