Hapa ni katika eneo la dharura katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambapo majeruhi 29 hadi sasa wamepokelewa kufuatia ajali ya gari aina ya fuso iliyokuwa imebeba watu wengi pamoja na mizigo kuelekea katika mnada wa Mhunze uliopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Alhamis.Pichani majeruhi waliendelea kuhudumiwa na wataalam wa afya katika hospotali ya mkoa wa Shinyanga
![]() |
Kwa mujibu wa kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Maguja Daniel ameiambia malunde1 blog kuwa mpaka sasa wamepokea miili miwili ya marehemu na majeruhi 29 |
![]() |
Huduma inaendelea kutolewa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga
|
Baadhi ya majeruhi wameiambia blog Hii kuwa gari aina ya fuso waliyokuwa wamepanda tena kwa kujazana ilikuwa inafukuzana na fuso nyingine na ghafla walijikuta wakiwa wameshapinduka
![]() |
Kulia ni kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Maguja Daniel akichukua maelezo kutoka kwa askari wa usalama barabarani
|
Kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Maguja Daniel akizungumza na waandishi wa habari hivi punde-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Artikel Menarik Lainnya
Gari dogo limegonga basi la mwendo kasi (DART) katika makutano ya barabara ya Morogoro na Bibi Titi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza waliovamia maeneo ya hifadhi Katavi waondolewe. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kuhakik
More 1 of 376 TAASISI YA KILIMANJARO DIALOGUE YATAKA WANAHABARI KUTUMIA KALAMU ZAO KUDUMISHA AMANI NCHINI Mdhamini wa Taasisi ya Kilimanjaro Dialogue, Habib Miradji (katikati) akiongoza m
Kijana wa miaka 14 ashukiwa kuhusika na mlipuko wa Gaziantep, Uturuki
NAFASI ZA KAZI Nafasi za kazi UN kwa watanzania National Consultant – Agricultural Productivity http://ajir
Kauli ya Serikali kuhusu wanafunzi 7802 wa UDOM waliorudishwa nyumbani
EmoticonEmoticon