Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T344AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es Salaam likiwa limeharibika baada ya kugongana na Lori eneo la Tabata Matumbi Julai 3 mwaka huu.
Mashuhuda wa ajali hiyo wameipasha Blog hii kuwa daladala hilo lilipata ajali hiyo wakati lorio hilo likivuka barabara na kuligonga katikati.
chanzo:father kidevu.
EmoticonEmoticon