Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.
Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan akiwasilisha mada katika mkutano huo.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba (katikati) akiwa meza kuu kabla ya kufungua mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam
EmoticonEmoticon