Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mwenyeheri Anwarite iliyopo Makoka jijini Dar es Salaam, Naima Nassir akiiweka picha ya Sista Crencesia Kapuli aliyeuawa kwa risasi na majambazi katika eneo la Ubungo Riverside hivi karibuni ikiwa ni maandalizi ya misa ya kumuaga leo


Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mwenyeheri Anwarite iliyopo Makoka jijini Dar es Salaam, Naima Nassir akiiweka picha ya Sista Crencesia Kapuli aliyeuawa kwa risasi na majambazi katika eneo la Ubungo Riverside hivi karibuni ikiwa ni maandalizi ya misa ya kumuaga leo.
Previous
Next Post »