KAMANDA WA POLISI MKOANI KILIMANJARO ROBER BOAZ AMEBAINI MBINU MPYA YA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE KILIMANJARO-KIA MIKOBA YA KIKE YAKAMATWA IKIWA NA MADAWA YA KULEVYA YALIYOFICHWA KWA USTADI MKUBWA

 

Sehemu ya Madawa ya Kulevya yaliyokamatwa  katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA. 


 

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akiwaonesha waandishi wa habari(hawako pichani)moja ya mikoba iliyotumika kufichia dawa za kulevya kwa ustadi mkubwa.

Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakati akitoa taarifa  juu ya kukamatwa kwa dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro KIA.

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng