MABANDA YA WAMACHINGA ENEO LA SOKO LA KARUME YATEKETEA MOTO USIKU


Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yameungua na moto.


 Moto ulikuwa ni mkali, na kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana. Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa. Nguzo za umeme zinaungua pia. Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.
Previous
Next Post »