KAULI DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUTOPATA TUZO YA MAMA INAYOTOLEWA NA MTV BASE


Jana ndiyo ilikua kilele na siku ya kutoa tuzo kwa washidi katika tuzo za MAMA zinazotolewa na MTV BASE , zoezi hili lilifanyika huko Africa ya kusini, pia mtanzania mwenzetu alipata fulsa ya kushiriki Tuzo hizo, Diamond platnumz kwa bahati mbaya ameshindikana kunyakua Tuzo hiyo, Ni hatua tua nzuri kwa muziki wa tanzania japo hajachukua lakani tayari ameonekana na kazi zake zimeonekana tumbe mungu wakati mwingine ije kwetu na nasi tutoe sapoti za kutosha kwa wasanii wetu ili kuipa heshima inchi yetu. Haya ni maneno machache ya Diamond baada ya Tuzo hizo kuisha...
"Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema.... Shukrani zangu nyingi ziende kwa Mashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!... Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii' 
Previous
Next Post »