Mbunge wa Mwibara Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza Mjini, Ezekiel Wenje , Bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
EmoticonEmoticon