BASI LA NEWS FORCE LAUA WAWILI PAPO HAPO NA KUJERUHI BAADA YA KUPATA AJALI ENEO LA IGURUSI LIKITOKEA DAR KWENDA MBEYA






Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam kuja Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili hapo hapo walikuwa wakitembea kwa miguu na kujeruhi wengine Arobaini ambao wanakimbizwa Hospitali sasa na kusaidiwa, Taarifa kamili na picha zinakuja endelea kufuatilia Hapa hapa 
Previous
Next Post »