Wakazi wa mtaa wa mtama kata ya Kinondoni jijini Dar es salaam wameelezwa kusikitishwa na ukimya wa Serikali





Wakazi wa mtaa wa mtama kata ya Kinondoni jijini Dar es salaam wameelezwa kusikitishwa na ukimya wa Serikali juu ya kero ya ubovu wa barabara katika mtaa hiyo ambapo kipindi cha mvua Imekuwa hakipitiki hatua ambayo imemlazimu Diwani wa viti maalumu Manispaa ya Kinondoni kuchukua hatua ya kumwaga vifusi ili kuziba baadhi ya mashimo katika barabara
Previous
Next Post »