Mtoto mmoja aliyefahamika kwa Jina la Malaika Jackson amefariki dunia baada ya kuangukiwa na Jiwe kubwa lililoporomoka wakati baba yake akichimba kokoto katika mlima Giza, maarufu kama mlima wa Rada uliopo maeneo ya Kiseke, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza
Kabla ya kufikwa na mauti hayo, Mtoto huyu alikuwa na baba yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Jackson Ismail, mama yake mzazi na mdogo wake wakipata chakula cha mchana baada ya kuponda mawe kutwa nzima.....
Wangali wakipata chakula hicho, baba aliwahi kumaliza na hivyo kuendelea na kazi hiyo ya kuponda mawe huku mkewe na watoto wakimalizia kupata chakula....
Wakati bwana Ismail akiendelea kuyaporomosha mawe hayo,ghafla alisikia mtikisiko mkubwa na hivyo kumtaka mkewe na watoto watoke haraka.....
Mama akiwa na mtoto mchanga waliwahi kunyanyuka na kutoka,lakini kabla binti Malaika mwenye umri wa miaka mitano hajatoka, jiwe kubwa lilimuwahi na kumkandamiza na kumfanya afariki dunia papo hapo....
Mama akiwa na mtoto mchanga waliwahi kunyanyuka na kutoka,lakini kabla binti Malaika mwenye umri wa miaka mitano hajatoka, jiwe kubwa lilimuwahi na kumkandamiza na kumfanya afariki dunia papo hapo....
Artikel Menarik Lainnya
Mbunge Bashungwa (CCM) aeleza kwanini jimboni kwake wanaume hawaoi wanawake wazuri
ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAODAIWA KUWA NA VYETI VYA KUGHUSHI 'FEKI' HAWA HAPA
Wagonjwa wa Saratani Ocean Road kunufaika na huduma za TEKNOHAMA Vodacom Tanzania Foundation yatoa msaada kufanikisha mchakato huo Wahanga w
Taarifa toka Ikulu: Rais Magufuli atoa tuzo CTI aahidi kuwaunga mkono wenye viwanda
MEYA ILALA AFUNGUA RASMI DARAJA LA BONYOKWA-KINYEREZI Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko, akihutubia wananchi b
SERIKALI Yacharuka Suala la Maiti 7 Kuokotwa Mto Ruvu, Waziri Mkuu Atoa Maagizi Mazito kwa Jeshi la Polisi WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Je
EmoticonEmoticon