Yani hii imehuzunisha watu wengi sana kwa jinsi mtoto alivyovamiwa lakini ikawapa furaha baadae baada ya paka aitwae Tara kutokea na kumuokoa huyu mtoto ambae wanaishi nyumba moja huko California Marekani.
Hata hivyo mtoto huyu aliepatwa na mkasa huu akiwa anacheza nje ya nyumba yao anaendelea vizuri baada kutibiwa jeraha hilo la Mbwa wa jirani ambapo baadae alipelekwa hospitali na kutibiwa majeraha hayo madogo ya mguuni.
Unaweza kutazama video yenyewe hapa chini.
EmoticonEmoticon