HASHEEM THABEET APATA MTOTO WA KIUME





Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘Thunder aka OKC’ katika jijini la Oklahoma, Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream wiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume(Baby Boy) aliyezaa na msichana wa kimarekani anafahamika kwa jina la Bee Anderson alias Love Queen Bee.
 Hasheem ameingia kwe list ya mastar waliobahatika kupata mtoto katika fani tofauti nchini humo, mke wake akiwa ni super model akitokea jiji la Las Vegas, Marekani.

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng