DK.CHENI ASIKITISHWA KUZUSHIWA KIFO



Msanii wa sinema za Kibongo,Mahsin Awadh’Dk.Cheni’amesikitishwa kuzushiwa kifo na baadhi ya watu,Msanii alisema kuwa kufa ni lazima na hakuna atakayebaki lakini siyo vizuri kumzushia kifo mtu.Kupitia mtandao wa instagram aliandika …Jaman kifo kipo na hakuna atakaye kwepa ni lazima tutakufa na hakuna atakayebakia ila si vyema kunizushia cku yangu itafika tu na wote mtajuwa lakin si jambo la busara kunizushia.
Previous
Next Post »

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng