VITUKO VYA WALIMWENGU ONA HII MARA DAADA YA MOYES KUFUKUZWA SHABIKI HUYU KAFANYA HIVI


Bl1O2ZjIAAA0N4h

article-2589392-1C90F03700000578-537_634x426
Mwezi February kuna picha ya shabiki mmoja wa soka anayeishabikia Manchester United ilisambaa sana ikimuonyesha kajichora tatoo ya “MoyesOut” kwamba hataki kabisa David Moyes aendelee kuwa meneja wa timu anayoishabikia.

David-Moyes-tattoo
Sasa baada ya David Moyes kufukuzwa shabiki huyu ameamua kuiongezea maandishi tatoo hiyo kuonyesha alivyofurahishwa na kufukuzwa kwake ambapo maneno hayo yanamaanisha ‘kazi imekamilika’
Previous
Next Post »