VIDEO YA KUSIKITISHA KUTOKANA NA TABIA YA KUTUMA SMS HUKU UKIWA UNAENDESHA GARI TAZAMA HAPA




Kadri teknolojia ya mawasiliano ya simu inavyozidi kurahisishwa ndivyo binadamu anavyotumia muda mwingi katika simu yake , lakini hugeuka kuwa hatari kubwa inayoweza kuchukua maisha yake pale ambapo anashindwa kuiweka kando ili aweke umakini katika kitu fulani.
Application nyingi kwenye simu yako zinaweza kuwa sababu ya kuchukua maisha yako kwa kuwa tu haukuvumilia kuiweka pembeni wakati ambapo unakiwa kuwa makini na unachofanya.
Kitengo cha polisi cha usafirishaji kimebuni mbinu mpya  ili kutoa tahadhari kwa madereva wanaoendesha gari huku wakitumia simu zao kutuma SMS.
Kitengo hicho kimetoa video yenye sekunde 30 inayoshitua, ikionesha ajali mbaya iliyotokea kwa sababu msichana aliyekuwa anaendesha gari hilo alikuwa anatuma SMS kwa simu yake
 Tangazo hilo la polisi limebeba kauli mbiu ‘U Drive. U Text. U Pay’

Previous
Next Post »