
RUVU SHOOTING
VS

AZAM FC
Mechi ya Azam FC dhidi ya Ruvu iliyokuwa ilikuwa ichezwe leo kwenye Uwanja wa Mabatini mjini Mlandizi, imeahirishwa.
Mechi hiyo imeahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika eneo hilo.
Taarifa kutoka Kamati ya Ligi zinaeleza kuwa mvua kubwa na upepo zimesababishwa kuahirishwa kwa mechi hiyo.
Bado haijaelezwa kama itachezwa kesho au itapangiwa siku nyingine.
EmoticonEmoticon