Tetemeko la pili kubwa la ardhi limetokea Kaskazini mwa Chile saa 24 baada ya tetemeko la kwanza kutokea jana na kuua watu sita huku likiharibu nyumba 2,600.

Previous
Next Post »