
Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha jana, Dar es Salaam

Wakazi wa Tabata Kisiwani wakipita katikati ya reli iliyofurika maji kutokana na mvua zilizonyesha Dar es Salaam jana
EmoticonEmoticon