MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA AMELAZIMIKA KUAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE ISIVYO KAWAIDA NINI KIMEPELEKEA SOMA HAPA



sita



Mwenyekiti wa bunge maalum la katiba amelazimika kukiahirisha kikao cha bunge isivyo kawaida baada ya wajumbe wa bunge hilo Kuhoji kitendo cha kukatwa ghafla kwa matangazo yanayorushwa moja kwa moja kupitia shirika la utangazaji la taifa TBC1 wakati mjumbe wa kamati namba nne Tundu Lisu alipokuwa akitoa ufafanuzi wa maoni ya waliowachache bungeni humo huku baadhi ya wajumbe wa kamati namba tatu nao wakimkataa mwenyekiti wao kusoma maoni ya waliowachache.Inasemekana matangazo hayo yalikatwa hewani kutokana na hali mbaya ya hewa jijini dar es salaam.Hivyo kikao hicho kitaendelea siku ya jumatatu.
Previous
Next Post »