Kocha Mkuu mpya wa Taifa Stars, Martinus Ignatius Maria maarufu kama Mart Nooij anatarajiwa kuwasili nchini Jumamosi alfajiri (Aprili 26 mwaka huu) tayari kwa ajili ya kuanza kazi ya kuinoa timu hiyo.
Nooij (59) atawasili saa 7.20 usiku kwa ndege ya Ethiopia Airlines ambapo anatarajia kukutana na waandishi wa habari Jumamosi mchana, saa chache kabla ya kuanza mechi ya kirafiki kati ya Taifa Stars na Burundi itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mart Nooij ni raia wa Uholanzi, na ameshawahi kufanya kazi katika nchi ya Mozambique kama kocha mkuu wa timu ya taifa, Burkina Faso U20, na pia ameifundisha timu ya Santos ya Afrika ya Kusini.
Artikel Menarik Lainnya
Serikali yampa zawadi ya kiwanja Mfalme wa Soka Afrika, Mbwana Samatta
WAYNE ROONEY AONGOZA MASTAA WA SOKA KUHUDHURIA NDOA YA TOM CLEVERLEY Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United, Cleverley mchana wa leo alifunga pin
AZAM FC YAILAMBA KAGERA SUGAR 2-0 Benchi la ufundi la timu ya Azam FC. Benchi la ufundi la Kagera
ALIYETIMULIWA STARS PAMOJA NA BOSI WAKE MART NOOIJ ATUA TANZANIA PRISONS Tanzania Prisons imemnasa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Ta
Gary Payton Sued Accused of Battering Woman Payton Alleges Shakedown Gary Payton is being sued by a woman who claims the NBA legend beat her up over and over again
Messi ashinda kwa mara ya tano tuzo ya Ballon d’Or 2015 Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona, na timu ya taifa ya Argentina Lio
EmoticonEmoticon