Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic naNationalpanasonic au maarufu kwa jina la dudu proof
Orodha ya Majina haya hapa:
- Abdallah Iddrissa Majura–Michezo
- Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
- Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari & Mazungumzo baada ya habari
- Abisai Steven
- Abou Liongo–Michezo
- Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
- Ahmed Kipozi–Mpira
- Alex Malumwene
- Aloycea Maneno- Ombi lako, cheichei Shangazi, mama na mwana
- Ananilea Nkya Twende na Wakati, Jinsia, Utawala Bora, Harakati
- Bakari Msulwa- Salam
- Barbabas Mluge
- Bathoromeo Kombwa (bati Kombwa) – WAkati wa Kazi
- Bazir Mbakile
- Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari Kikoloma. –Enzi za vita ya Nduli
- Benjamin Rwegasila
- Bety Mkwassa – Kabla hajahamia ITV
- Bhaat Kombwa–Wagonjwa mahospitalini, Wakati wa Kazi
- Bujago Izengo wa Kadago
- Charles Hillary–Mpira
- Chillambo Dominic—Mpira..”…Fuuumo Felician…Nafasi kama ile….”
- Chisunga Steven- kipindi cha ugua pole
- Chriss Katembo
- Christina Chokunogela
- David Wakati–Duniani Wiki Hii
- Deborah Mwenda–Mama na mwana–wanawake na maendeleo
- Dominic Chilambo- Mpira
- Edda Sanga
- Fauziah Ismal-Habari
- Hannah Gogo Mayige-Habari
- Harid Ponela – club raha leo show
- Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
- Hendri Michael Libuda- Misakato
- Iddi Rashid Mchata
- Idrisa Sadala
- Jacob Tesha–Habari
- Japhet Muura.
- Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
- Juma Ngondai
- Khalid Ponera- Zilipendwa
- Kissunga Steven–Kwetu Kigoma
- Leonald Mambo Mbotela
- Malima Nderema
- Mariam Shabba–Mambo ya jamii
- Martha Ngwira
- Michael Katembo na vipindi vyake vya Mkoa kwa mkoa, Tumbuizo asilia, Ngoma, Asilia Salam
- Mohamed Abdullhamaan–Michezo
- Mohamed Amani (Mohamed Dahman)
- Mohamed Ngayonga–Mchana Mwema
- Mshindo Mkeyenge–MichezoMpira
- Nassoro Nsekeli
- Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
- Nazir Mayoka–Mpira
- Nswima Ernest – Nyanda za Juu Kusini
- Paschal Mayalla–Habari(anikumbushe mwenyewe ni mwana jukwaa)
- Penzi Nyamungumi = Fundi mitambo – Mtangazaji
- Peter Msungu–Mbili Kasoro
- Rashid Mchata
- Restuta Bukoli
- Richard Leo
- Rochus Matipa – External Service RTD
- Rose Haji
- Salama Mfamao
- Salim Mbonde–Mpira
- Salim Seif Nkamba –Mikingamo–twambie nani yuko wapi anafanya nini katika kuhujumu uchumi
- Sango Kipozi–Habari
- Sara Dumba–Mama na Mwana
- Sauda Simba maarufu kwa kutangaza taarifa ya habari ya lugha ya kiingereza.
- Sekioni Kitojo–Michezo
- Seleman Kumchaya–Mchana Mwema
- Selemani Mkufya
- Simba Nyamaume–Majira
- Siwatu Luwanda–Habari
- Stan (Stanslaus) Katabalo – cha Majira
- Suedi Mwinyi
- Suleiman Hega
- Suleiman Kumchaya
- Suleiman Muhogora
- Titus Philipo
- Titus Stephen
- Tumbo Risasi – Kigoma
- Zainab Bakilana
EmoticonEmoticon