HABARI KUHUSU YULE MTOTO ALIYEPIGWA RISASI YA KICHWA KANISANI MOMBASA KENYA


March 23 2014 lilivamiwa kanisa moja huko Mombasa Kenya watu wakiwa katikati ya ibada ambapo waliovamia walitekeleza mauaji kwa risasi huku miongoni mwa waliouwawa akiwa ni mama wa mtoto huyu aitwae Satrin.   Inasemekana mama huyu aliuwawa kwa risasi akiwa kamkinga mwanae asipatwe na risasi lakini hata hivyo risasi hiyo ilimuua mama na kwenda kutua na kubaki kwenye kichwa cha mtoto Satrin ambae alikimbizwa hospitali na siku kadhaa baadae risasi ikatolewa. Taarifa ya leo kutoka hospitali ya Kenyatta Nairobi Kenya, Satrin Osinya ameruhusiwa kuondoka hospitalini leo baada ya hali yake kiafya kuimarika toka alipotolewa risasi kichwani. Baba yake aitwae Ben Osinya anasema amefurahishwa na hali ya mwanae ambapo furaha yake...
Previous
Next Post »