HA HA HA WAKATI WENZAKO WANAWAKIMBIA WEWE UNAWANG'ANG'ANIA







Ushawahi kuona mwizi anamng'ang'ania Askari ampeleke kituoni.? basi muone huyu jamaa  baada ya kipigo kikali kuoka kwa wananchi wenye hasira kali mpaka jamaa akawa anamlilia askari ampeleke kituoni ni shidaaaaa 
Previous
Next Post »