DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI KWA KOSA LA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE ADAI ETII ANAMROGA



 
Msanii wa nguli wa Hip Hop Bongo,Dudubaya anatafutwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa kosa la kumkata sikio mama yake mkubwa akidai kuwa mama yake huyo anamroga(kumfanyia mambo ya kishirikina)
.
Kwa mujibu wa mdogo wake aitwaye Muweta alisema kuwa siku ya tukio msanii huyo alimfuata mama yake huyo nyumbani kwake na kumlaza kwenye makochi na kuanza kumkata sikio kwa kisu huku akimwambia kwanini anamroga baada ya kufanya tukio hilo alitokomea kusikojulikana

Previous
Next Post »