TANGAZO :.KULALA JIRANI NA SIMU ZA MKONONI NI HATARI ZINALETA UGONJWA WA BRAIN TUMOR (CANCER YA UBONGO )


image
Mchezo wa vijana kulala wakiwa wameacha simu zao on (bila kuzima ) sio mzuri. Angalizo kama utoizima basi yakupasa kuiweka mbali na kichwa chako. UGONJWA huu wa BRAIN TUMOR ni HATARI sana na pia unauua na umeshaua watu wengi sana Duniani hususani VIJANA maana wao ndio walengwa wakubwa wa matatizo na michezo ya kulala na simu huku wakijiita #TEAM_POPO Ikimaanisha WAZEE WA MKESHA (ANT-SLEEP)
image
Pia suala la kutumia SIMU huku unasogeza kwa skio yako sio nzuri that’s why kuna vifaa maalum kama vile HEADPHONES NA HEARPHONES ,ambavyo umkinga mtu na mionzi ya SIMU (PHONE RAY’S ) ambayo ushambulia UBONGO na kuuathiri vibaya
image
Inaonyesha takwimu ya watu wapatao magonjwa hayo
image
Yakupasa pia kuweka mbali na watoto: BRAIN TUMOR INAUWA NA NIHATARI. IMETOLEWA NA  Wotld health Department (WHD)
Previous
Next Post »