Shughuli za bunge zasitishwa nini kimetokea soma hapa.






Photo: Shughuli za bunge zasitishwa: Warioba apata wakati mgumu
http://bungelakatiba.blogspot.com/2014/03/shughuli-za-bunge-zasitishwa.html



Mwenyekiti amelazimika kusitisha shughuli za bunge leo jioni baada ya wabunge kukataa kusikiliza hotuba ya mwenyekiti hii inaonesha pia Warioba ameamua kugoma kusoma kwani wazo la Sitta lilikua isomwe tu.

 Inadaiwa kuwa wabunge hawa wanataka protocol izingatiwe na Rais alifungue bunge kwanza na si vinginevyo hofu bila shaka ikiwa ni umuhimu wa hotuba ya Warioba utatiwa kampuni ikianza. 

Yetu macho. tunaendelea kuona sura ya ule muhafaka unaotarajiwa na una sura inapambwa na matukio kama haya!

Bunge limehairishwa kwa muda.
Previous
Next Post »