Rais Jakaya Kikwete Apokea helikopta kutoka kwa mtoto wa bilionea wa pili duniani, Warren Buffett, Howard ambaye familia yake kupitia Mfuko wa Warren Buffett Foundation helikopta moja itakayotumika kupambana na ujangili katika Pori la Akiba la Selous.





Rais Jakaya Kikwete, akipokea mfano wa helikopta kutoka kwa mtoto wa bilionea wa pili duniani, Warren Buffett, Howard ambaye familia yake kupitia Mfuko wa Warren Buffett Foundation watatoa helikopta moja itakayotumika kupambana na ujangili katika Pori la Akiba la Selous. Picha ya Wizara ya Maliasili na Utalii. 
Previous
Next Post »