Picha za kwanza muundo wa uwanja wa soka utakaokuwa ukitumiwa na timu mpya inayomilikiwa na David Beckham zimetoka ambapo utakua ni uwanja unaoweza kuingiza watu elfu ishirini na tano na unatarajiwa kujengwa katika eneo la Port of Miami, Marekani.
Unaambiwa pia ndani ya uwanja huu wa kisasa kutakuwa mgahawa mkubwa pamoja klabu ya usiku.
Kingine ni kwamba uwanja huu ambao bado haujapewa jina utakuwa ukichezewa mechi 17 kwa msimu wa ligi kuu ya Marekani.
EmoticonEmoticon