MH. SAMUEL SITTA AIBUKA KIDEDEA KATIKA UCHAGUZI NA KUWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

SittaEAC1Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta ameshinda nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya mpinzani wake,Mh. Hashim Rungwe katika uchaguzi uliofanyika muda mfupi uliopita
Previous
Next Post »