Msanii chipukizi wa mziki wa kizazi kimpya (bongo flava) Augutino Nicksoni maarufu kama Puzzle amejikuta akifanya yake barabarani na bint huyu anaetambulika kwa jina la Salah chengula mkazi wa Igawa Wilayani Mbarali mkoani mbeya msani huyu anavuma sana Wilayani humu(picha na Saimeni Mgalula)
EmoticonEmoticon