LINAH AFUNGUKA..."SIJAWAHI KUUMWA KAMA HIVI".


Msanii huyu apost picha kwenye mtandao wakijamii na kuipa kichwa cha habari sijawahi kuumwa namna hii maishani ,hiyo nipicha yaakiwa ana umwa ugonjwa wa matetekuwanga uliompata kitambo ila kwa kuwa ulimtesa sana ameukumbuka na kupost picha hiyo
Previous
Next Post »