HUU NDO UMBEA UNAOENDELEA HUKO INSTAGRAM UNAOWAHUSU MASTAA WA BONGO


Mastaa wengi wa bongo wamekuwa wakijiuliza hivi ni nani anayemiliki hii account ya #teamukwelinauwazi ya instagram, Coz toka ifunguliwe account hiyo imekuwa ikotoa habari za ndani za masuperstaa wa bongo tanzania, Ni ki2 ambacho kinawaumiza sana masuperstaa, But hopefull kwa wasomaji wanakuwa wanaenjoy coz wanakuwa wanapata hali halisi ya maisha ya baadhi ya wasanii, though we are not sure kama all those news anayeandika huyo mtu kupitia account yake yake ya #teamukwelinauwazi kama ni kweli au laa but all in all people are and interested with this account khaaa japo imekaa kimbeyambeya sana jamany
Previous
Next Post »