HII NI ZAWADI ALIYOPEWA DROGBA NA CHELSEA JANA USIKU

Didier Drogba to get Silver shoe from Chelsea for his services to the club. Jana usiku wakati wa Mechi ya Chelsea na Galatasaray , Uongozi wa Chelsea walimwandalia Mchezaji Drogba zawadi ya Kiatu cha Silver kwa kuonesha kuukubali mchango wake wakati anachezea hiyo Team kabla ya kuondoka.

Previous
Next Post »