Kachumbari ni moja kati ya vionjo katika chakula wengi hupenda kutumia kachumbari yenye mchanganyiko wa matunda ya aina mbalimbali kama nyanya, vitunguu maji, tango, parachichi, kabichi nk, kwa kuchanganya matunda haya unapata virutubisho vya asili katika mwili wako
Unaweza kula kachumbari na vyakula vya aina mbalimbali kama pilau, ugali, ndizi, chipsi nk. lakini kwa waleambao wanapenda kupunguza uzito unaweza kufanya kachumbari kama chakula cha mchana kwa kuchanganya matunda ya aina mbalimbali.
Kachumbari ni nzuri kwa afya lakini hakikisha imetengenezwa katika mazingira safi na salama
EmoticonEmoticon