CHATU WA KUTUMWA AMMEZA MWANAFUNZI AKIWA DARASANI PEKEYAKE.


 

Nyoka mkubwa jamii ya Chatu amemmeza mwanafunzi wa kike huko nchini Nigeria.
Binti ambaye ni mtoto pekee wa mama mmoja huko Nigeria, amemezwa na chatu huyo baada yakuwa amebaki peke yake darasani baada ya muda wa masomo na ndipo nyoka huyo mkubwa akaja na kummeza.



Kwa mujibu wa chanzo kimesema kuwa, nyoka huyo inasemekana ametumwa na rafiki wa karibu wa mama wa binti huyo ambaye amehangaika kwa muda wa miaka 20 sasa baada ya kuolewa pasipo pata mtoto, hivyo akaamua kumtumia chatu huyo kuja kumla mtoto wa rafiki yake ili na yeye aweze kuwa katika hali kama yake ya kutokuwa na mtoto.
Previous
Next Post »