CCM YASHINDA KWA KISHINDO KALENGA


1 (7)
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga, Ndg. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wanachama na wapenzi wa CCM baada ya matokeo kuonyesha ameshinda kwa kishindo Kalenga.
Matokeo Kalenga CCM 16861, Chadema 4273, Chausta 78, 
Previous
Next Post »