BREAKING NEWZ: MKUU WA MKOA WA MARA MHE JOHN TUPA AFARIKI DUNIA WILAYANI TARIME LEO





Mkuu wa mkoa wa Mara, Bwana John Tupa ( pichani, enzi za uhai wake) amefariki dunia akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Tarime mkoani Mara asubuhi hii.  Habari zilizothibitishwa zinasema Marehemu Tupa alianguka na kupoteza fahamu akiwa katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Tarime.Kwa habari kamili endelea kufuatilia ukurasa huu
Previous
Next Post »