BREAKING NEWS MH LIPUMBA AKATAA NAFASI YA UTEUZI ALIYOPEWA NA MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA KATIKA NAFASI YA UONGOZI KATIKA KAMATI



Uamuzi wa kukataa nafasi hiyo ni kutokana na kile alichoita hakuna uwiano sawa katika uteuzi huo wengi wakiwa wametoka chama tawala yaani CCM

Previous
Next Post »