AJALI HIZI DUH BASI LA JAPANESE EXPRESS LATUMBUKIA MTONI




Habari zilizotufikia  basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe, limetumbukia kwenye mto eneo la Lwamadovela wilayani Makete

Basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kuja Makete na ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jioni kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo

Wapo baadhi ya abiria waliojeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Ikonda Consolata

SOURCE: EDDY BLOG
Previous
Next Post »