Wanafunzi 10 bora matokeo kidato cha nne 2013


DSC_9772
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani  la Tanzania,  Dk. Charles Msonde, akitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Naibu Katibu Mtendaji wa  baraza hilo, Edward Haule. 
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls – Pwani)
2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls – Mbeya)
3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa – Dar-es-salaam)
4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls – Pwani)
5. Abby T Sembuche (Marian Girls – Pwani)
6. Sunday Mrutu (Anne Marie – Dar-es-salaam)
7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege – Kagera)
8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege – Kagera)
9. Janeth Urassa (Marian Girls – Pwani)
10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls – Mbeya)

Previous
Next Post »