WAKATI WAJUMBE WA KATIBA WAKILALAMIKIA POSHO YA LAKI TATU KWA SIKU NDOGO WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI BUPAMBA MKOANI GEITA WANAKAA CHINI TAFAKARI




Picha na Jackline Masinde.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bupamba, wilayani Nyang’hwale mkoani Geita, wakiwa darasani huku wengi wao wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba wa madawati shuleni hapo. 
Previous
Next Post »