facebook wameingia katika makubaliano ya kununua Whatsapp, kwa dola za kimarekani bilioni 16 cash na hisa.
Kama ilivyokuwa walipoinunua Instagram kampuni ya Facebook imesema Whatsapp itaendelea kufanya kazi kwa kujitegemea baada ya kuimiliki, ikiwa tofautu na facebook mesenger.
dili hiyo inatajwa kuwa ni asilimia 11 tu ya soko la facebook na kulinganisha na dili za makampuni mengine ya biashara hii ni kumbwa kuliko ile ya google walipoinunua Motoroala Mobility ambapo waliinunua kwa dola biloioni 12.5, na kampuni ya Microsoft walipoinunua Skype kwa dola bilioni 8.5.
Whatsapp ina watumiaji milioni 450 kwa mwezi ukilinganisha na mitandao mingine kama twitter ambayo ina watumiaji milioni 241
EmoticonEmoticon