Usaili wa Shindano la Vipaji kwa watoto la “MO Kids Got Talent 2013″ wakamata watoto zaidi ya 100


DSC_1678 (2)
Chief Judge wa Shindano la “MO Kids Got Talent”, Salma Mziray, akitoa maoni yake kwa baadhi ya washiriki wa usaili wa shindano hilo uliofanyika kwenye hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jaji Neema Theobald na kushoto ni msanii wa filamu nchini Hidaya Njaidi wakiwa meza kuu.
DSC_1672
Pichani juu na chini ni baadhi ya washiriki wakionyesha vipaji vyao mbele ya majaji.
DSC_1705
Binti huyu kipaji chake ilikuwa ni kuimba taarab.
DSC_1785
Mambo ya Alingo nayo yalihusika.
DSC_1797
DSC_1745
DSC_1768
Hapo sasa twende kazi…..!!!
A04A7088
Majaji wa shindano la “MO Kids Got Talent” wakishuhudia kipaji cha mmoja wa watoto wanaojua kuogelea akijitosa kwenye bwawa la kuogelea lililopo Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar.
A04A7095
Chief Judge, Salma Mziray, akizungumza na mmoja wa washiriki kabla ya kuonyesha kipaji chake.
DSC_1773
Pichani juu na chini ni baadhi ya watoto walioshiriki usaili huo hawakuondoka mikono mitupu walipewa zawadi ya madaftari pamoja na sabuni ya Unga ya kufulia MO Detergent.
DSC_1692 (2)
DSC_1756
DSC_1788
DSC_1802
DSC_1726
A04A7120
Meneja Mkuu Ledger Plaza Bahari Beach, Wissem Souifi (kulia) pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Fros Africa, Bw. Peter  Sekasiko (katikati) wakijumuika na wazazi pamoja na familia zao kwenye fukwe za hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar leo.
Previous
Next Post »