Hii
ilikuwa pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu
alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.
Kwenye
hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?
Show
ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema, “Naskia
ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
Wema
Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.
EmoticonEmoticon